Tarehe 17 Aprili, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Uislamu cha Kimataifa cha Malaysia (IIUM) Prof. Osman Bakarya ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu Prof. Liu Xinlu wamekutana na wageni. Wamezungumza kuhusu ushirikiano wa kutayarisha wanafunzi na wasomi, utafiti wa pamoja na mawasiliano wa vijana, n.k.Baada ya mazungumzo, Jia Wenjian na Mjumbe wa Baraza la Chuo Kikuu ...
Tarehe 13 Aprili, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dai Nam Prof. Dao Thi Thu Giang ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni.Jia Wenjian na Dao Thi Thu Giang wametia saini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano wa wenzi wa kimkakati. Vyuo vikuu viwili vitashirikiana katika mawasiliano ya walimu na wanafunzi, utafiti wa pamoja na mabadilishano ...
Tarehe 11 Aprili, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sanaa na Sayansi za Jamii cha Vietnam Prof. Anh Tuan Hoang ametembelea BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni. Wamezungumza kuhusu kukuza mawasiliano wa walimu na wanafunzi, ushirikiano wa utafiti, n.k.Prof. Hoang amezungumza na walimu na wanafunzi wa kozi ya Kivietnam.
Tarehe 3 Aprili, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Eotvos Lorand Prof. Lénárd Darázs ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Bw. Li Hai na Makamu Mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni hawa. Wamezungumza kuhusu ushirikiano wa ufundishaji wa lugha, mawasiliano ya tamaduni, utayarishaji wa wanafunzi jumuishi wa taaluma mbalimbali, akili unde n.k.
Tarehe 27 Machi, Balozi wa Cambodia Nchini China Bi. Soeung Rathchavy ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni. Wamezungumza kuhusu kutayarisha wanafunzi na wasomi wa ngazi ya juu na kukuza ushirikiano wa utafiti na utamaduni.Kwa niaba ya Mama Malkia Monineath wa Cambodia, Balozi Rathchavy amezawadia BFSU vitabu. Jia Wenjian amepokea vitabu kwa niaba ya Chuo ...
Tarehe 17 Machi, Mwalimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Keele Prof. Kevin Shakesheff na Makamu Mkuu Prof. Antonius Raghubansie wametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni hawa. Wamezungumza kuhusu kuimarisha miradi ya elimu ya ushirika ikiwemo shahada ya kwanza ya masomo ya diplomasia na shahada ya uzamili ya teknolojia ya elimu na akili ...
Tarehe 6 Machi, tafrija ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani imefanyika mjini Beijing. Mjumbe wa Baraza la Serikali na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wanawake la China Bi. Shen Yiqin ametoa hotuba. Baadhi ya wawakilishi wanawake wa Bunge la Umma la China na wajumbe wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China, wanawake mashuhuri wa makabila na nyanja mbalimbali, wanawake kutoka Hong Kong na Macao, ...
Mnamo tarehe 28 Februari, kikao cha kufungua muhula wa Spring wa 2026 kimefanyika BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Bw. Li Hai, Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Jia Wenjian wamepanga kazi za mwaka mpya.Li Hai amesisitiza kuzingatia kazi muhimu zikiwemo “ufundishaji wa lugha, utafiti wa utamaduni na uwezo wa uongozi”, pamoja na kuendeleza ushirikiano wa ngazi ya juu na wa kila aina na vyuo vikuu maarufu ...
Tarehe 4 Februari, Rais wa Uruguay Mhe. Yamandu Orsi ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Bw. Li Hai, Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Jia Wenjian, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Zhao Gang, pamoja na Balozi wa China nchini Uruguay Bw. Huang Yazhong, Mwambata wa Idara ya Amerika ya Kilatini na Caribbean ya Wizara ya Mambo ya Nje Bw. Zhang Wenwei, Naibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano ...