Mwanzo > Habari > Content

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dai Nam Atembelea BFSU

Updated: 2026-04-13

Tarehe 13 Aprili, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dai Nam Prof. Dao Thi Thu Giang ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni.

Jia Wenjian na Dao Thi Thu Giang wametia saini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano wa wenzi wa kimkakati. Vyuo vikuu viwili vitashirikiana katika mawasiliano ya walimu na wanafunzi, utafiti wa pamoja na mabadilishano ya rasilimali.


Baidu
map