Mwanzo > Habari > Content

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Uislamu cha Kimataifa cha Malaysia Atembelea BFSU

Updated: 2026-04-17

Tarehe 17 Aprili, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Uislamu cha Kimataifa cha Malaysia (IIUM) Prof. Osman Bakarya ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu Prof. Liu Xinlu wamekutana na wageni. Wamezungumza kuhusu ushirikiano wa kutayarisha wanafunzi na wasomi, utafiti wa pamoja na mawasiliano wa vijana, n.k.

Baada ya mazungumzo, Jia Wenjian na Mjumbe wa Baraza la Chuo Kikuu cha IIUM, Balozi wa zamani wa Malaysia nchini China na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Urafiki wa Malaysia-China Bw. Abdul Majit Ahmad Khan wamezindua Kambi la Mawasiliano ya Utamaduni ya Vijana kati ya China-Malaysia la Mwaka 2026.


Baidu
map