Tarehe 22 Mei, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Moldova, Mhe. Mihai Popșoi, ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni.

Bw. Popșoi ametoa hotuba na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa BFSU katika hali ya kirafiki.