Tarehe 22 Mei, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Moldova, Mhe. Mihai Popșoi, ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni.Bw. Popșoi ametoa hotuba na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa BFSU katika hali ya kirafiki.
Tarehe 20 Mei, Rais wa China Mhe. Xi Jinping na Rais wa Urusi Mhe. Vladimir Putin walizindua kwa pamoja “Mwaka wa Elimu baina ya China na Urusi” utakaoendelea kwa miaka miwili. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian alialikwa kuhudhuria ufunguzi.Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Wananchi cha Urusi katika Sekta ya Lugha ya Kirusi na ...
Tarehe 11 hadi 14 Mei, Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjia ametembelea Urusi. Wajumbe wa BFSU wametembelea Chuo Kikuu cha Lugha cha Moscow, Chuo Kikuu cha Lomonosov, Chuo Kikuu cha Urafiki wa Wananchi cha Urusi, Chuo Kikuu cha Sanaa cha Urusi, Chuo Kikuu cha Saint Petersburg, na Taasisi ya Maandishi ya Mashariki iliyo chini ya Taasisi ya Sayansi ya Urusi. Pia wametembelea Ubalozi wa China nchini Urusi na ...
Tarehe 22 Aprili hadi Tarehe 1 Mei, kwa kutumwa na Kituo cha Ushirikiano na Mawasiliano ya Lugha kati ya China na Nchi za Nje cha Wizara ya Elimu ya China, Kundi la Sanaa la Chuo Kikuu cha BFSU limefanya ziara nchini Ujerumani, Ubelgiji na Hungary na kufanya maonesho ya sanaa, mihadhara na maonesho ya kitamaduni.Shughuli hizo zimeonyesha umaalumu wa BFSU katika lugha na sanaa. Wachezaji wa BFSU wametembelea ...
Tarehe 21-26 Aprili, Mwalimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Wenjian ametembelea Hong Kong, Macao na Zhuhai.Wajumbe wa BFSU wamehudhuria Kongamano la Elimu ya Juu la Vyuo Vikuu vya Asia; kutembelea Chuo Kikuu cha Mji cha Hong Kong, Shirika la Upatanisho la Kimataifa (IOMed), Baraza la Kutunga Sheria la Macao , Chuo Kikuu cha Macao, Mfuko wa Macao, Taasisi ya Macao ya Chuo Kikuu cha Umoja wa Mataifa,...
Tarehe 20 Aprili, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Concordia Prof. Tim Loreman ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni. Wamezungumza kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kitaaluma, utafiti n.k.
Tarehe 17 Aprili, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Uislamu cha Kimataifa cha Malaysia (IIUM) Prof. Osman Bakarya ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu Prof. Liu Xinlu wamekutana na wageni. Wamezungumza kuhusu ushirikiano wa kutayarisha wanafunzi na wasomi, utafiti wa pamoja na mawasiliano wa vijana, n.k.Baada ya mazungumzo, Jia Wenjian na Mjumbe wa Baraza la Chuo Kikuu ...
Tarehe 13 Aprili, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dai Nam Prof. Dao Thi Thu Giang ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni.Jia Wenjian na Dao Thi Thu Giang wametia saini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano wa wenzi wa kimkakati. Vyuo vikuu viwili vitashirikiana katika mawasiliano ya walimu na wanafunzi, utafiti wa pamoja na mabadilishano ...
Tarehe 11 Aprili, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sanaa na Sayansi za Jamii cha Vietnam Prof. Anh Tuan Hoang ametembelea BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni. Wamezungumza kuhusu kukuza mawasiliano wa walimu na wanafunzi, ushirikiano wa utafiti, n.k.Prof. Hoang amezungumza na walimu na wanafunzi wa kozi ya Kivietnam.